Sio zote, tunaendelea kuwekeza kuboresha utumiaji wa Tor Browser, kama tulivyofanya miaka mitano iliyopita katika matoleo makubwa ambayo yalihusisha maboresho ya uzoefu wa watumiaji. We are also working hard on bringing Tor Browser for Android up to par with the desktop version's features.

The development of Mullvad Browser has helped us address legacy issues and code, and fix vulnerabilities. Haiathiri utendaji kazi wetu kwenye Tor Browser.