Mullvad Browser fills a gap in the market for those who want to run a privacy-focused browser as good as Tor Browser but with a trusted VPN instead of the Tor Network. Uhusiano huu huchangia kuwapatia watu uhuru wa kuchagua faragha katika kuperuzi tovuti huku tukipanga mpango wa biashara wa sasa wa kutumia data za watu. Inaonesha kuwa ni rahisi kuendeleza ufumbuzi wa bure wa teknolojia unaotoa kipaumbele kwa ulinzi wa faragha kwa watumiaji. Mullvad husambaza thamani sawa ndani ya faragha mtandaoni na uhuru na imetolewa kuwezesha faragha ya teknolojia kupatikana zaidi na kufanya ufuatiliaji wa watu wengi kutowezekana.

Mradi huu wa ushirikiano na Mullvad umechangia kushughulikia masuala kanuni la usimbaji wa Tor Browser na huruhusu kwa vyanzo vilivyotolewa katika kufanya maboresho muhimu ambayo hunufaisha vivinjari vya Tor na Mullvad. Kwa zaidi ya miaka miwili iliyopita, Tor Project walizindua idadi ya mipango ya kuongeza matumizi ya teknolojia zetu na kutengeneza maboresho makubwa katika matumizi ya bidhaa zetu.