From now until December 31, donations to the Tor Project will be matched one-to-one, up to $75,000!
Hili linawezekana kwa sababu ya michango kutoka kwa jumuiya yetu. If you value the privacy that Tor offers yourself and others, please make a donation today. You’ll ensure Tor continues to provide online privacy to everyone who needs it.
Kiuhalisia sakiti zilizofungulia zimeorodhesha hapa chini lakini weka akilini mwako, Sakiti yeyote au nyingi zinaweza kufunguliwa na muendeshaji wa relay kwa kuzisanidi katika torrc au kuboresha chanzo cha msimbo. Katika asili yake kulingana na src/or/policies.c (line 85 and line 1901) Kutoka katika vyanzo vya msimbo vilivyotolewa release-0.4.6:
reject 0.0.0.0/8
reject 169.254.0.0/16
reject 127.0.0.0/8
reject 192.168.0.0/16
reject 10.0.0.0/8
reject 172.16.0.0/12
reject *:25
reject *:119
reject *:135-139
reject *:445
reject *:563
reject *:1214
reject *:4661-4666
reject *:6346-6429
reject *:6699
reject *:6881-6999
accept *:*
PakuaTor Browser ili kupata uzoefu wa kuperuzi mtandaoni bila kufuatiliwa,kuchukuliwa taarifa zako na kudhibitiwa.
Pakua Tor BrowserKukuza haki za kibinadamu na uhurukwa kuunda na kusambaza teknolojia huru zinazopatikana bure na zenye kuwa na faragha na kutojulikana, kusaidia kutokuwa na upatikanaji na matumizi yaliyozuiliwa, na kuongeza uelewa wao wa kisayansi na mkubwa.
Alama ya biashara, tangazo la hatimiliki, na sheria za kutumiwa na wahusika wasio wa moja kwa moja zinaweza kupatikana katika FAQ yetu.