Tor Browser ni toleo lililo boreshwa la Firefox hususani imeundwa kwa matumizi na Tor. A lot of work has been put into making Tor Browser, including the use of extra patches to enhance privacy and security. Kiufundi inawezekana kutumia Tor pamoja na vivinjari vingine, unaweza ukajiweka katika uwezekano wa kushambuliwa au kuvuja kwa taarifa, hivyo tunawakatisha tamaa kwa hilo. Jifunze zaidi kuhsu muundo wa Tor Browser.