Ingawa Tor Browser kwa Android na Orbot vyote ni vizuri, hutoa huduma tofauti. Tor Browser kwa ajili ya Android ni kama ya Tor Browser kwenye kompyuta, lakini kwenye kifaa chako cha mkononi. Ni kivinjari cha kuacha kimoja kinachotumia mtandao wa Tor na kujaribu kuwa na utambulisho usiojulikana kadri inavyowezekana. Orbot on the other hand is a proxy that will enable you to send the data from your other applications (E-Mail clients, instant messaging apps, etc.) through the Tor network; a version of Orbot is also inside of Tor Browser for Android, and is what enables it to connect to the Tor network. That version, however, does not enable you to send other apps outside of Tor Browser for Android through it. inategemeana na ni jinsi gani unatumia mtandao wa Tor, kama ni moja au zote kwa pamoja inaweza kuwa chaguo zuri.